Wednesday, May 8, 2013

SNURA AMALIZIA VIPANDE VYA VIDEO YA MAJANGA SOUTH AFRICA, CHEKI PICHA ZAKE AKIWA SOUTH AFRICA


 Yule mwanadada mkali anaetamba na wimbo wa  MAJANGA Anaejulikana kama SNU SEX mwiitwe SNURA leo anamalizia baadhi ya clip ya video yake ya majanga south Africa ambapo alikwenda huko kwa ajili ya kufanya filamu na kurecord video.
 Pia unaweza kuupata wimbo wa majanga kama MUUTO KWENYE SIMU YAKO andika GB kisha tuma kwenda 15050

hapa akiwa na abby kazi

Kampuni ya emage array ndio inafanya video hiyo south Africa chini ya msimamizi ABBY KAZI.

No comments:

Post a Comment