Ni masaa machache tu
yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake
na kuelekea nchi jirani ya KENYA ...
Lady Jaydee anafikiria
kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni
kutaka kujinasua katika migogoro inayomkabili ambayo tayari iko
mahakamani....
Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa
kijamii wa twitter na kuandika

No comments:
Post a Comment