Friday, May 10, 2013

LADY JAYDEE AFUNGULIWA KESI MAHAKAMANI, KUJA NANI KAMFUNGULIA SOMA HAPA


Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo. Kwanza kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu ukiwa na shughuli haimaanishi kuwa wengine wasifanye shughuli nyingine kama hiyo. 

Lakini sasa kuna jingine ambalo limejitokeza, na amelisema mwenyewe Lady JayDee, hii haijathibishwa, huenda ni maneno tu ya kizushi or….!

Kupitia akaunti yake ya Twitter Jide ameandika:

“Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa nimefunguliwa kesi mahakamani natumaini sitaitwa kizimbani tar 31 May ambayo ndio siku ya show.”
Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa nimefunguliwa kesi mahakamani natumaini sitaitwa kizimbani tar 31 May ambayo ndio siku ya show.

No comments:

Post a Comment