HII NDIO PICHA YA MTU ALIYEWAHI KUISHI MWAKA 1939, AKIWA KAFANANA 'COPYRIGHT' NA JAT Z ICHEKI HAPA
Jana wafanyakazi wa maktaba ya Schomburg Center ya New York Marekani wamepata picha ya mtu ya mwaka 1939 anayefanana na Jay-Z kila kitu.
Picha hiyo imewafanya baadhi ya watu waamini kuwa hiyo ni Jay-Z na aliishi mitaa ya Harlem, miaka ya 1930s. Tazama video hii ya TMZ uone wanavyoijadili picha hiyo.
No comments:
Post a Comment