Vita kali ya matusi ya nguoni
imeibuka kati ya Loveness Diva wa Bongo na Lady Boss wa Kenya
kisa kikiwa na PENZI LA PREZZO.....
Mwanadada maarufu nchini Kenya maarufu kwa jina la
Huddah Monroe leo ameingia kwenye bifu kali na Tanzanian Diva,
Loveness Love, kwa madai kwamba Diva ameparamia penzi la mpenzi
wake ambaye ni prezzo....
Mrembo
huyu anashangaa kuingiliwa penzi lake na mtu kama Diva....Kwa
upande wake anamchukulia Diva kama mwanamke mchafu, Njiti,asiye
na makalio ya kuvutia na kahaba......
No comments:
Post a Comment