AJALI.....AJALI...MBAYA YA LORI LA MAFUTA MDA HUU ,WATU WAMEVAMIA NA MADUMUWA KUCHOTA MAFUTA YANI NI HATARII SANA
Kulikuwa na lorry la mafuta linatoka njia ya Moshi to Arusha, likiwa njiani, ndio katika ku-overtake gari lingine, likapoteza balance na kupinduka eneo la kibaoni ukishatoka KIA, karibu na kituo cha mafuta cha Panone, watu wakaanza kujichotea mafuta kadri walivyoweza.
HII NDO HALI YA HATARI ILIVYO WATU WAKIWA NA VIFAA VYAO ILI KUBEBA MAFUTA
No comments:
Post a Comment