Hakimu
anayesikiliza Kesi ya Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh.
Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa
dhamana kwa Lwakatare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 Mei
Hata
hivyo, Mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata
dhamana yake japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.....
No comments:
Post a Comment