Mrembo Jokate
Mwegelo aka Kidoti, anatarajia kuonekana kwenye show mpya ya Channel O
akihost pamoja na Denrele wa Nigeria.
Kwa sasa Jokate na Denrele wapo jijini Johannesburg, Afrika Kusini, kushoot show hiyo itakayoanza kuruka June 15.
Denrele anajulikana zaidi kwa kuwa rafiki mkubwa wa marehemu Goldie. Akizungumzia kufanya show moja na Denrele, Jokate amesema, “Denrele chizi kama mimi, sema yeye zaidi kidogo so chemistry inakuwa poa tu, high energy on set.”

No comments:
Post a Comment