Monday, May 13, 2013

SHABIKI WA MARA CLARA HUU NDIO WIMBO WA MARA CLARA DOWNLOAD HAPA


Alieimba wimbo wa Mara Clara


anaitwa: Carol Banawa

kazaliwa:
March 4, 1981 (age 32)
Mahali:
Pasay City , Metro Manila , Philippines
Kazi:
Mwimbaji, Mwigizaji
Anafanya kazi na kampun ya:
Star/Black Bird
Alianza kuimba akiwa mdogo, wakat wazazi wake wanaishi Soudia Arabia, na baadae wakahamia Philipino, huko nako aliendelea na kazi yake ya uimbaji na kupata mkataba wakufanya kaz na ABS-CBN stars

No comments:

Post a Comment