VIDEO YA WANAFUNZI WA MANZESE WALIOKUWA WAKIDONDOSHWA NA MAPEPO JANA
Hali ya taharuki ilitokea jana katika
shule ya sekondari Manzese jijini Dar es salaam baada ya zaidi ya
wanafunzi 40 kupatwa na ugonjwa wa kuanguka ovyo na kusababisha
kukatishwa kwa masomo na kulazimishwa wanafunzi kurudi nyumbani kwa
kuhofia usalama wao.
No comments:
Post a Comment