Tuesday, May 14, 2013

LADY JAYDEE KAANZA KUSHOOT VIDEO YAKE MPYA LEO, SOMA ALICHOKISEMA HAPA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihjnllL956YWUxP5xAA00mJo3WMJ-5P0QkGzT8AkuUuPKRTu7l2jKqnuaQR2o3HQghU5S7wADd1aSW-Xwb7sHElrgLXILi2kBdHtzdbyEzjTxm1wO3y_ob1FARDTXpxMQNZQRt9w-nmhY/s640/lady_jay_dee.jpg

Bongo Flava Queen, Lady JayDee ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Joto, Hasira aliyompa shavu famous rapper Prof. Jay na hatimaye  mdundo huo kupokelewa vizuri na mashabiki wa vichwa hivyo viwili.
Mpya kutoka kwa Jide ni kwamba hivi sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma yake ya "YAHAYA" ambapo hapo awali baada ya kuachia ngoma yake ya Joto, Hasira tuliwataarifu kuwa ngoma itakayofuata itajulikana kama "Yahaya"
THAT'S RIGHT..!! Jide kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa siku ya leo ndiyo ataanza ku-shoot video ya ngoma hiyo ya Yahaya.
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake huo wa twitter...[@JideJaydee]"Leo na shoot Video ya Yahaya. Asubuhi njema"

No comments:

Post a Comment