Friday, May 10, 2013

Picha: Vanessa Mdee na Nancy Sumari kwenye ‘World Economic Forum’ Afrika Kusini


Nancy Sumari, Vanessa Mdee na mbunifu wa mavazi Eskado Bird ni miongoni mwa watanzania wanaohudhuria mkutano wa World Economic Forum nchini Afrika Kusini.

Vanessa Mdee na Nancy Sumari wakiwa na Rais Jakaya Kikwete nchini Afrika KusiniVanessa Mdee na Nancy Sumari wakiwa na Rais Jakaya Kikwete nchini Afrika Kusini
Nancy akiwa Barbara Bush, (mtoto wa rais wa zamani wa Marekani George Bush Nancy akiwa Barbara Bush, (mtoto wa rais wa zamani wa Marekani George Bush
Vanessa Mdee (wa mwisho kulia) akijiandaa kuwasilisha madaVanessa Mdee (wa mwisho kulia) akijiandaa kuwasilisha mada

No comments:

Post a Comment