Haya yalikuwa ni maongezi yake na mtandao wa teentz.
Anaweza kuwa ndiye video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa V,queen mwenye jina kubwa zaidi. Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social networks pia magazeti baada ya video na picha zake chafu kusambaa onsocial networks,TEENTZ imefanya nae Exclusive interview na kuongea ya moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa kumhusu.
''Me cjui hizo picha zilisambaa vipi sababu izo picha zilikuwepo kwenye camera yangu na mimi cku hiyo nilikuwa nimelewa, i was drunk sikuwa naelewa chochote na nilikuwa south Africa kwa hiyo maswala ya kuandika habari za uongo eti nimeenda south kuuza ,me sina dhiki ya kufikia kuuza mwili wangu eti nipate pesa"na ,picha niliyopiga siyo ya uchi ile hata nikikuonesha,nilikuwa nimevaa nguo kabisa ,kuna uchi nimeonesha pale?
Na mtu kuenda South ndio ameenda kujiuza?Mimi nina biashara zangu nafanya na wanaosema hivyo hawanisaidii chochote,hakuna mtanzania anayeninunulia nguo,hayupo anayenipa pesa waongee tu''.
Katika hatua nyingine Agness aliyashutumu baadhi ya magazeti nchini kwa kile aklichokiita wanaandika story zisizokuwa na ukweli
"Unajua sisi wadada tuna tabia ya kuoneana wivu akiona unafanya vizuri anaanza kukusemea vitu vya ajabu pembeni,Magazeti ya Bongo nayo ,wanaandika tu vitu vya kusikia pasipokuwa na uhakika na wanachokiandika nilisoma gazeti eti Wema ana mabaka,sijui Lulu amekonda ameisha,Wema alivyo mzuri vile?Lulu mwenyewe umemwona,amekonda yule?wanaandika tu imradi wauze"
Lakini pia alizungumzia uhusiano wake na mwanadada Sintah ambae awali ilitajwa kuwa wan beef lililotokana na kuvuja kwa video chafu ya Masogange.....
"Ugonvi wetu ulishaisha ,Simchukii Sintah na sitoweza kumchukia kwanza ni mkubwa kwangu yule,me niwa 1989 tu jamani,na watu hawajui me ni mpole na sipendi kugombana na watu magazeti tu wananijengea sifa mbaya"
Kuhusu ushiriki wake katika video as video queen,Agness alifunguka kuwa hatoshiriki tena kwenye video yoyote coz mchumba wake hapendi na amemzuia.
"nimeonekana kwenye Masogange ya Belle9 na Magube gube,sitoshiriki tena kwenye video za bongo Fleva sababu mchumba wangu amenizuia na hapendi kwanza"
Na hili likawa ndio neno lake kwa watanzania
"Agnes wa saivi siyo yule wa zamani nimeshabadilika jamani,me nimchumba wa mtu,nuimeshachumbiwa n soon naolewa" .alimalizia mwanadada Agness
source.teentz.com
No comments:
Post a Comment