Thursday, May 9, 2013

JIDE APATA NGUVU ZAIDI:Juma Nature KUWEPO KATIKA SHOW YAKE

Juma Nature ameongezeka katika list ya wasanii watakaokuwepo kushiriki miaka 13 ya Lady JayDee...
Tickets zinaendelea kuuzwa na zinapatikana Shear Illusions Mlimani City, City Sports Lounge Mjini Posta, BM Salon Kinondoni na American Nails n Hair Salon Kinondoni bila kusahau Nyumbani Lounge.
Ni tar 31 May 2013 hutakiwi ku
simuliwa

No comments:

Post a Comment