Jiji la London nchini Uingereza, jana lilikuwa mwenyeji wa uzinduzi rasmi wa dunia wa filamu ya Fast And The Furious 6.
Waigizaji wa filamu hiyo wakiwemo, Vin Diesel, Michelle Rodriguez, Tyrese, Jordana Brewster, Luke Evans, Ludacris Paul Walker na wengine walihudhuria uzinduzi huo wa Leicester Square. Utazamaji wa kwanza wa filamu hiyo ulifanyika Empire cinema, jijini humo.
Ssung Kang kwenye uzinduzi
Bondia David Haye naye alikuwepo
Tyrese na mrembo
Vin Diesel
Paul Walker na Vin Diesel
Vin Diesel
Waigizaji Paul Walker, Vin Diesel na Tyrese Gibson (192)
No comments:
Post a Comment