Thursday, May 9, 2013

INASIKITISHA::POLISI WAUA TARIME MTOTO WA MIAKA 9 KWA RISASI TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ITAKAYOONEKANA


Haya ndiyo yaliyofanyika Tarime leo mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya kashuhudie mwenyewe uone then comment! hATA HIVYO UNAOWAONA NI WANANCHI WALIOCHOKA WAKIANADAMANA HUKU WAMEBEBA KWENYE MACHELA MWILI WA MAREHE dEO yKOB MWNAFUNZI WA DARASA LA TATU KATIKA SHULE YA MSINGI MTURU MJINI HAPA! Nimelishuhudia hili.source http://jamiiinformation.blogspot.com

No comments:

Post a Comment